M Mr.samba de man Member Joined Sep 4, 2013 Posts 55 Reaction score 7 Jun 14, 2014 #1 Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu.
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu.
V vickboy.com Member Joined Jul 29, 2013 Posts 85 Reaction score 23 Jun 15, 2014 #2 wenye diploma waliomaliza miaka 3 iliyopita wanaosoma degree au advanced dip watapewa mkopo ni hayo tu!
wenye diploma waliomaliza miaka 3 iliyopita wanaosoma degree au advanced dip watapewa mkopo ni hayo tu!