Bodi ya mikopo na watu wa diploma inawahusu!!!

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu..
 
hata mimi nilijiuliza swali hilo hilo ngoja waje watuelimishe
 
hata mimi nilijiuliza swali hilo hilo ngoja waje watuelimishe

asante Irumba hicho kipengele bwana wadai tunawaomba coments zao mi diploma 2011 kurudi nyuma tumekata tamaa wengine wanasema ni zaidi ya miaka 3 kurudi nyuma da! Mpaka michanganyo!
 
asante irumba hicho kipengele bwana wadai tunawaomba coments zao mi diploma 2011 kurudi nyuma tumekata tamaa wengine wanasema ni zaidi ya miaka 3 kurudi nyuma da! Mpaka michanganyo!

tuombe mungu atatusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…