Bodi ya mikopo na watumishi serikalini

wisely

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
32
Reaction score
4
Wadau napenda kuuliza bodi ya mikopo inatoa mikopo kwa watumishi wanaojiendeleza na elimu ya chuo kikuu?
 
Ndio tena inatokea maranyingi sana. Unakuta mtu anamshahara wake namkopo anapewa pia.
 
Kwani kwa wale wanafunzi ambao hawana mshara wanaishije , chamsingi nikubana bajeti
 
Haya mwenye vigezo avuwekr tuvione
 
Si dhan kama kweli kuna vigezo. ila chamsingi nikuuomba tu uo mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…