bomouwa JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 1,149 Reaction score 800 May 12, 2015 #1 Jamani naombeni mnijuze, kijana wangu anasema online system ya mikopo ya elimu ya juu haifanyi kazi ingawa ukilipa mpesa wanakubali lakini ukiingiza code ili ku log in OLAS inareject. Ni nini tatizo kwa wanaojua?
Jamani naombeni mnijuze, kijana wangu anasema online system ya mikopo ya elimu ya juu haifanyi kazi ingawa ukilipa mpesa wanakubali lakini ukiingiza code ili ku log in OLAS inareject. Ni nini tatizo kwa wanaojua?
M matailomakabe Member Joined Jan 8, 2015 Posts 16 Reaction score 6 May 12, 2015 #2 Jaribu tena badae