Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Wanasheria, walimu na wahasibi wapo wengi sana mtaani na hawana ajira
Kitendo Cha bodi ya mikopo kuendelea kuchoma pesa Kila mwaka kuwakopesha wanafunzi wapya wakasomee hizo fani pesa ambazo hata hamjui kama zitarudi hayo ni matumizi mabaya Kwa pesa za walipa kodi
Tayari wapo wengi mtaani wanasubiri ajira na hata hawajui lini watapata hizo ajira Sasa mnaendelea kuzalisha wengine Kwa gharama kubwa Ili iweje?
Hivi ni kweli mliopewa dhamana katika nchi hii ni vilaza kiasi hicho jambo ambalo hata mwenye alimu ya darasa la saba analiona lakini nyinyi na madigrii yenu hamlioni
Kwanini hizo pesa msizipeleke katika nyanja zingine za elimu kama kutanua vyoo vya VETA na kuanzisha vingine vya fani mbalimbali za ufundi