Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka.
Ingekuwa vzr kama kuna mabadiliko yoyote mngetujulisha wadau tukajua.