Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc.
Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi.
Pili mkataba unasema mtu anatakiwa apewe mwaka mmoja bila kukatwa baada ya masomo yake intern hata miezi miwili hawajamalizia mnataka kuwakata? Huo ni wizi.
Naona mnataka kuwa kausha damu sasa kama OYA. Halafu mnatuhamasisha tukajiandikishe kwa haya tunayofanyiwa kweli?
Hebu kuweni serious bodi ya mikopo