Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Salam wakuu.
Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14.
Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo.
Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa Mil 1.4 hivi.
Sasa nimeingia kwenye system yao nijue nadaiwa bei gani nakuta madudu madudu tu sijaelewa.
Naambatanisha screenshot. Nishadata hapa.