Mi ni genius sana ila hapo nmetoka kapa.Salam wakuu.
Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14.
Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo...
Salam wakuu.
Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14.
Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo.
Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa Mil 1.4 hivi.
Sasa nimeingia kwenye system yao nijue nadaiwa bei gani nakuta madudu madudu tu sijaelewa.
Naambatanisha screenshot. Nishadata hapa.
View attachment 1856336
Hiyo inawezekana. Wako watu salary slip inasoma milioni 3 walipoenda ofisini kwao kuchukua statement wakakuta laki 2.Kuna shida kwenye hii mifumo, kuna jamaa alikuwa bado anadaiwa km milion 5 hivi, lakini alipo jisajiri kuangalia balance ya deni...akakuta wanasema deni limeisha akafuate liquidation letter, tumebaki njia panda bila majibu
Haya mabodi ya mkopo ni takataka sana...wakati ule wa kudumbukiza zile VRF % na penalty yalikuwa yako fasta kama manyani ktk shamba la ndizi mbivu....ila sasa yako slow cause VFR na penalty imetolewa so hayana kabisa mzuka na kazi mafisi pori haya.
Nadhani hii ndio taasisi ya serikali no 1 kwa upuuzi hapa Tz
Salam wakuu.
Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14.
Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo.
Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa Mil 1.4 hivi.
Sasa nimeingia kwenye system yao nijue nadaiwa bei gani nakuta madudu madudu tu sijaelewa.
Naambatanisha screenshot. Nishadata hapa.
View attachment 1856336
Nenda kwenye ofisi zao, wanasema hizi statement za online Zina shida
🤣🤣🤣Mi ni genius sana ila hapo nmetoka kapa.