Bodi ya mikopo ya elimu ya juu vp kuhusu right of privacy

China Vach

Member
Joined
Mar 13, 2011
Posts
7
Reaction score
0
Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online kwa website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13, lakini kinachonishangaza katika masharti ya kutumia hakina term inayozungumzia juu ya issue of privacy, wakati faragha ni suala la kikatibu(Article 16 ya katiba ya Tanzania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…