GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Relax mkuu hapo ni taarifa zinahakikiwa tu na mwisho wa maombi bado ndio maana bado watu wanaomba mkuu.Habari,
Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini?
Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
okay, poa, asanteRelax mkuu hapo ni taarifa zinahakikiwa tu na mwisho wa maombi bado ndio maana bado watu wanaomba mkuu.
In short ushamaliza kila kitu subiri kupewa mkopo au kukosa.
Stage inayofata hapo inaitwa view application status hii ndo inaonuesha kua information zako wamezipitia na zimekua confirmed so usubir allocation processHabari,
Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini?
Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
Kwa wazoefu huu ujumbe wa "wait for the allocation process"Stage inayofata hapo inaitwa view application status hii ndo inaonuesha kua information zako wamezipitia na zimekua confirmed so usubir allocation process
Namimi nasubiri jibu hapaKwa wazoefu huu ujumbe wa "wait for the allocation process"
Maana yake ni nin je umepata mkopo au bado
BadoKwa wazoefu huu ujumbe wa "wait for the allocation process"
Maana yake ni nin je umepata mkopo au bado
"verification is arleady, weight
Kama taasisi kubwa kama HESLB ndo walikuandikia kiingereza cha hivi, basi elimu yetu inahitaji mfungo wa maombi ya siku 40, tena bila kumeza hata mate.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]yaani tufunge na kuomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]