Una roho ya ibilisiWadaiwa wengi walimaliza chuo miaka kumi iliyopita. Walikuwa na muda wa kutosha kulipa deni la bodi kwa rate ya 8% kwa miaka hiyo kumi na hawakufanya hivyo...
Sasa wacha wanyolewe hiyo 15% ili kufidia miaka waliyokuwa wamejificha... Naongea haya kwa kuwa mie nimejiajiri na najua hawawezi kunidaka any time soon! π
Wadaiwa wengi walimaliza chuo miaka kumi iliyopita. Walikuwa na muda wa kutosha kulipa deni la bodi kwa rate ya 8% kwa miaka hiyo kumi na hawakufanya hivyo...

Kweli unajua kutumia akili uliyonayo. Kuna watu ukisoma comment zao humu mpaka unajiona mjinga.Mkuu;
Usishangilie maafa ya wenzio. Hivi jiulize swali, Walijificha wapi wasikatwe? Mbona leo serekali imeweza kuwakata walipofikisha 15%?
Uzembe wa serekali ulipwe na mdaiwa?? Serekali iwawajibishe wale waliohusika na uzembe huu sio wahusika hawa. Hakuna mtu aliyekataa kuwa hajachukua mkopo, ila mdai hakuwadai so kosa si lao. Kama walitakiwa wawe wakizi deposit bank flan wenyewe, sawa. Lakini kama ilikuwa serekali wawakate, kosa liko wapi? Msiwafanye watu waichukie serekali yao jamani.