Bodi ya mikopo yafanya kweli.

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
Taarifa toka bodi ya mikopo imebainisha kuwa mgodi huo unaotegemewa na watoto wengi wa mkulima upo taabani kifedha kutokana na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi wa juu wa sekta hiyo nyeti.Habari nyeti zilizolifikia gazeti la Nipashe ni kuwa kumekuwepo na semina elekezi zisizoisha pamoja na tabia ya kujipandishia mishahara na posho mbalimbali zisizo na mshiko.Imedaiwa kuwa pamoja na bodi kukana taarifa hizo ukweli umeendelea kuwahukumu.Hii inatokana na tukio la hivi majuzi la kujiongezea mishahara kufikia milion 7 na maposho kibao ikiwemo ya mavazi,kujikimu,nyumba na nyingine nyingi.KAZ KWENU MASKIN MNAO WATEGEMEA.
 
Masaburi yako yana matatizo heading na ulichoandika haviendani kabisa...jaribu kuwa serious kidogo Taarifa zinazohusu mkopo zinahusu pia mustakabali wa maisha ya watu kwahiyo ni muhimu sana.Mtu akisoma title picha anayopata nikwamba Bodi imetoa majina akiingia kwenye thread yenyewe anakuta ni upuuzi tu.
 
Rudi shule kwanza ili ufundishwe namna ya kutengeneza kichwa cha habari na kuwianisha na habari yenyewe!!
We jamaa ulichokiandika haya ni matusi siyo tetesi tena 'umaskini'unauma kuliko kidonda
 
Kama Wewe Ni Mwandishi Wa Vitabu,magazeti Au Matini Zozote Utakuwa Mwandishi Kichaa.kama Mdaku Bwana,unaandikaje Kama Gazet La Udaku Linalo Andka Title Tofaut Na Habari? Usi2zngue,kwani Wewe Ni News Reporter Wa Nipashe?....! Alah!
 
MOD naona kuwe na namna mtu aweze edit heading yake maana apa ni sawa na kuongelea vitu viwili tofauti
 
KAZ KWENU MASKIN MNAO WATEGEMEA,wewe ni bonge la fara....kwa hiyo kauli yako sio wote wanaotegemea boom ni maskin
 
we acha uongo bwana,loan board tayari wameshachukua cheki kutoka hazina,bado tu wanavutia kasi kutoa majina
 
Chokojike mtoto wewe mbona unajishoo kshamba bundle ya jego inakuzuzua unaandika uchoko mbele ya jamii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…