wanajamii forum hali sio nzuri katika chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebatian kolowa(sekomu), hii nikutokana na wanafunzi wa mwaka wa pili kupunguziwa ada na mbaya zaidi wanafunzi wengi walio punguziwa ni masomo ya sayansi ambayo ndo first priority, huku wa upande wa art wameongezewa na kubaki kuwacheka hawa wa sayansi, mimi ni mhanga wa hili na imenibidi nisogee hadi ofisi za bodi na kupewa majibu kuwa rudi chuoni tunamhitaji loan officer, kwa kifupi hali ni mbaya na dead line ya usajiri ndo inakaribia kuisha sijui ni tatizo la vyuo vyote au nai hiki cha porini huku ndo bodi imeamua kukopesha ili kujiendesha mfano mzuri huyu hapa alikuwa anapewa mkopo 1300000 bodi imemkata hadi 650000 huku ada ya chuo ni 1700000 je tutafika na anasoma physics na elimu ya ubongo