Bodi ya mikopo yakutana tarehe 3/9/2013,,kujadili utendaji,,,,,,,

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Kwamujibu wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo elimu ya juu,ni kwamba mwaka wa masomo 2013/2014,bodi inategemea kuwakopesha wanafunzi 98025.kati ya hao,wanafunzi 35649 ni mwaka wa kwanza.kwahiyo kwa taarifa hiyo ni wazi kwamba mwaka huu,wanafunzi wengi wategemee kupata mikopo ya elimu ya juu.na TCU pia walitoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa mwaka huu,ambayo sio tafauti na hiyo ya bodi ya mikopo.
 


Waache siasa na propaganda cc tunataka vitu vifanywe in action na sio vikao vya wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…