Tetesi: Bodi ya mikopo

Tetesi: Bodi ya mikopo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa mzalendo kwenye makato ya adhabu 7% juu ya ile 8%

Naomba mnifundishe hapa nakuwaje mzalendo kwasasa Napokea mshahara 176000 mnanikata 143000 naomba mnifundishe kuwa mzalendo Katika Hali hii

Mungu awabariki
 
Wawe wazi tu kwamba awamu hii ni ya kukomoa watumishi basi anyway ipo siku dua la kuku litampata mwewe

Haiwezekani miaka mitatu mfululizo kipato cha mtumishi kinashuka kwa makusudi kabisa halafu wanasema tuwe wazalendo how?

Sijutii makato ya halali lakini ya uonevu Hapana na stahiki zote halali hamtoi mtu nakuwaje mzalendo

Salary areas hawalipi
Nyongeza za halali za kisheria hawalipi wanadanganya uhakiki

Anyway lengo ni kuwaprun naturally nadhani natafsiri hivyo

Haya yanafanyika kwa kudhamiria

Be blessed Helsb
 
kwa hiyo unabaki na 33,000... be serious
Joseverest kwanza pole kwa kutokuwa wa kwanza kwenye três mbalimbali cku hizi

Ni hivi kwasasa take home yangu ni 176000 yani mshahara niliokuwa naupata miaka kumi iliyopita hawa watu wamekuja kutukomoa huo ndio ukweli
 
Mm salary 1.2mil mwisho wa mwezi nadondoka na 5.5k take hme ....hapo sidaiwi na bank yyte je ningekupo ningekufa wallah...
Bodi punguzuni makato ni makubwa mno hata CIG alisema hilo kwenye riport yake.....
 
Back
Top Bottom