Wawe wazi tu kwamba awamu hii ni ya kukomoa watumishi basi anyway ipo siku dua la kuku litampata mwewe
Haiwezekani miaka mitatu mfululizo kipato cha mtumishi kinashuka kwa makusudi kabisa halafu wanasema tuwe wazalendo how?
Sijutii makato ya halali lakini ya uonevu Hapana na stahiki zote halali hamtoi mtu nakuwaje mzalendo
Salary areas hawalipi
Nyongeza za halali za kisheria hawalipi wanadanganya uhakiki
Anyway lengo ni kuwaprun naturally nadhani natafsiri hivyo
Haya yanafanyika kwa kudhamiria
Be blessed Helsb