As great thinkers naomba tujadili ubora wa hiki chombo katika utekelezaji wake
@kutoa taarifa kwa wadau kuhusu maombi na ugawaji wa mikopo
@timeliness katika kutoa mikopo wakati inapotakiwa
@customer service ya wafanyakazi
@coordination yake na vyuo nk, nawasilisha