abdallah masoud mrua
New Member
- Sep 20, 2012
- 4
- 0
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?
Hapo we andika maumivuuuu
NIMEAJILI MIGAMBO KWA AJILI YA USALAMA WANGU NA OFC YANGU NA VILIVYOMO KAKA Ipycalypse
Nitakuja leo niwaone hao migambo p_prezdaa