Bodi ya mikopo

Joined
Sep 20, 2012
Posts
4
Reaction score
0
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?
 
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?

Hapana hayatatoka tena, kama umekosa mkopo usikatetamaa angalia na njia zingine ndugu yangu
 
NIMEAJILI MIGAMBO KWA AJILI YA USALAMA WANGU NA OFC YANGU NA VILIVYOMO KAKA ipcalypse
 
NIMEAJILI MIGAMBO KWA AJILI YA USALAMA WANGU NA OFC YANGU NA VILIVYOMO KAKA Ipycalypse
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…