Bodi ya mkopo mnataka mpaka tuandamane ndiyo mtupe pesa zetu

Bodi ya mkopo mnataka mpaka tuandamane ndiyo mtupe pesa zetu

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha
 
Chuo gan ndugu,na lp tatzo lmefanya wadelay mpunga?!
 
Ushauli wangu kwa wote no loan, 2015 tuungane na m4c tu. Kwan serikali ya sisim imetufanya sisi kama so watanzania vile.
 
Tatizo lenu nyie Saut hamgomi ndo maana mtanyanyaswa na kunyanyasika daima. Mbn hapa UDSM hakuna huo upuuzi wa kucheleweshewa bum. Nyie jifanyeni watoto wa askofu mzidi kupgika, wenzenu huku twala baaaaaaaata!
 
Back
Top Bottom