K kwel2 Senior Member Joined Dec 30, 2012 Posts 109 Reaction score 47 Jan 9, 2013 #1 tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha
tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha
Geezzle JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 849 Reaction score 267 Jan 9, 2013 #2 Chuo gan ndugu,na lp tatzo lmefanya wadelay mpunga?!
Tky JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 439 Reaction score 140 Jan 9, 2013 #3 Ushauli wangu kwa wote no loan, 2015 tuungane na m4c tu. Kwan serikali ya sisim imetufanya sisi kama so watanzania vile.
Ushauli wangu kwa wote no loan, 2015 tuungane na m4c tu. Kwan serikali ya sisim imetufanya sisi kama so watanzania vile.
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jan 9, 2013 #4 kwel2 said: tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha Click to expand... Behewa 4 daraja gani?
kwel2 said: tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha Click to expand... Behewa 4 daraja gani?
Mwamgunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 247 Reaction score 48 Jan 10, 2013 #5 Tatizo lenu nyie Saut hamgomi ndo maana mtanyanyaswa na kunyanyasika daima. Mbn hapa UDSM hakuna huo upuuzi wa kucheleweshewa bum. Nyie jifanyeni watoto wa askofu mzidi kupgika, wenzenu huku twala baaaaaaaata!
Tatizo lenu nyie Saut hamgomi ndo maana mtanyanyaswa na kunyanyasika daima. Mbn hapa UDSM hakuna huo upuuzi wa kucheleweshewa bum. Nyie jifanyeni watoto wa askofu mzidi kupgika, wenzenu huku twala baaaaaaaata!