Bodi ya shule sumve sekondari yawasimamisha masomo kidato cha sita wote

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Bodi ya shule ya sumve high school imewarudisha nyumbani wanafunzi wote wa kidato cha sita baada ya kugomea adhabu waliyopewa na makamu mkuu wao wakidai wanataka kwanza wasikilizwe matatizo yao
 
Wapuuzi hawa! Discipline starts before academic achievement
 
Wafukuzwe wote! Kugomea adhabu ni kosa kubwa sana, hata mahakamani mtuhumiwa anakwenda sero, ndipo taratibu za dhamana zinafuata. Hawa wadogo zetu wanadhani wamesoma sana. Hakuna msamaha kwa mtu anayegomea mamlaka.
 
Unajua sababu, pengne wameadhibiwa kwa kosa ambalo hawakulifanya na hawakupewa haki yao ya msing na ya kikatiba ya kujitetea, kama wewe upewe adhabu bila ya kufanya kosa then usisikilizwe nini umefanya itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…