Bodi ya Wakurugenzi Simba, kaeni vikao lakini mjue kuwa tunataka uchaguzi tuchague watu wenye uchungu na Simba

Umetumia haki yako ya kikatiba ya jamuhuri kuongea,ila kwakweli ulichokiwasilisha ni upumbavu tupu,

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hawa viongozi wana tatizo la kutokusikiliza watu. Naomba nipooze maneno kidogo.

Wanasajili wachezaji wa Mia mia alafu utarajie matokeo uwanjani?

Kulikua kuna Haja gani ya kumsajili Akpan. Okwa, quatara na late mzungu? Alafu unakosa Pesa za kumsajili Manzoki kwa Ml 400?

Unasajili kwa kutumia Akili kweli?

Simba hai hitaji kumsajili mchezaji wa kuja kukaa benchi. Ina hitaji mchezaji wa viwango na sio Magalasa.

Tumepiga kelele Wamrudishe Kocha wa viungo yule mtunisia. Wameziba masikio wameleta kocha wanaomjua wao yaani ni mizaatu.

Itafikia maali viongozi ndio mtakwenda uwanjani wenyewe. Maana simnafanya timu ni yenu.
 
Shida yako ni kuifikiria zaidi yanga kuliko timu yako ya simba, ambayo mpaka sasa imefanikiwa kuingia makundi CCL, na ipo nafasi ya pili kwenye ligi ya nyumbani ambayo hata round ya kwanza haijaisha.
Hadi muda huu ipo nafasi ya Tatu mkuu
 
Kumbuka alikuwa ni Captain wa Rivers united Nigeria, kwani huyo waliyemleta cv yake unayo? Ukitaka ujue kuendesha club ya mpira wa miguu kwa level za simba, yanga na azam unahitaji hela si mchezo. Hebu piga hesabu ya kiingilio chako uwanjani utahitaji kuingia mechi ngapi ili kumlipa mshahara Kibu
 
Mkwakwani ondoa hofu'the branch'
 
Mbona Simba inafanya vizuri?
Mimi Yanga, Ila msimu huu nashangaa sana washabiki wa Simba.
Mnafikiri timu zingine zimelala? Expect tough competition to the end.
 
Ingewezekana hii timu tumsusie mwamedi kabisa maana haieleweki tena
 
Ni wakati sasa Simba iwe kampuni na share ziuzwe public, FAIR COMPETITION COMMISION imekwamisha mchakato wa Simba kuwa kampuni na Mo Dewji kishasema hili jambo, mambo ya merger na aquisition wauza kahawa na machinga wa kariakoo hawawezi elewa, waliokwamisha ni watu wenye kufaidiki na timu ikiwa hivi mfano wale watengeneza jezi feki ambao ni viongozi wa klabu na wanaziuza nje ya uwanja wa taifa.
Wana majumba kwa kuuza jezi kwenye mechi moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…