Bodi ya wanasheria ni muhimu kwa taifa hili

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Kitendo cha serikali kutangaza kupeleka mswaada wa kuundwa kwa bodi ya wanasheria ni jambo la kupongezwa sana na wananchi.Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti wanasheria wasio na nidhamu wanaoiabisha fani muhimu sana ya sheria kwa maslai yao binafsi au kwa maslai ya vibaraka wao.
 
Hivi kumbe kwa miaka mingine yote hiyo hautukuwa na board ya wanasheria?

Maajabu mengine haya.
 
Elimu yake kama ameenda sana ni std 7, achana na huyu kilaza mkuu.
 
Huyu jamaa japokuwa kajificha nyuma ya ID yake....lakn am sure hizi message za majibu ametoa chozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana Mkuu waeleweshe hao waropokaji

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Petro E. Mselewa

saf sana kaka. Huyu jamaa amekua anapost sana mambo ya kishabiki ktk jukwaa la siasa. Amejisahau na kuzan sheria ni siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…