misoza Gete
Member
- Sep 28, 2012
- 58
- 21
Mbarawa punguza burden kwa wananchi ,huu utitili wa bodi ni mzigo kwa mlipa kodi.Ukiwa na ujenzi wa ghorofa unagombaniwa kama mpira wa kona na hatujui fedha hii huenda wapi?Nilidhani ingeleta tija hata zingetengeneza barabara za kokoto maeneo hayo baada ya kusajili.Hili ni jipu tusaidie prof.Umetoka tcra na temesa,tumbua na hawa kuna fedha nyingi inapotea.Majengo pia kibao hayana mabango,je tunalipaje watu mishahara huku kodi inapotea kwa watu kutofuata sheria na bodi zipo.Aqrb,crb,erb kazi inakuja