bodiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hatariiii

Bodi ya nini , kama ya mikopo je ulipata division gani? Wa div 1 wa arts naona wote kama wamepata. najua hatuwezi wote kupata div.1, Anyway criteria hiyo siyo nzuri maana kila mmoja ana umuhimu wake na dunia hii does not exist because of div 1.
 
Mkuu hakuna hicho kigezo cha div 1 or 2 instead u're required to secure admission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…