i have the same product. kama kuna mtu anahitaji ani pm nitampatia kwa Tsh 70000. Karibuni
Kaka nahitaji hiyo
post yenyewe ya mwaka jana sidhani kama atakua bado na mzigo??!!
i have the same product. kama kuna mtu anahitaji ani pm nitampatia kwa Tsh 70000. Karibuni
HELLO JF MEMBERS,
kwa wale wanaohitaji supplements za bodybuilding sasa zinapatikana,price laki 3, kopo zima
View attachment 95727
special kwa waliokuwa na plans za kupunguza unene na kujenga musles kwani zina low fats, i can no fats at all maana ni like 1gm ama 2gms of fat with lots of proteins that are easly digestable, na mojawapo ya teknik ya kuweza kuburn fat ni kuhave more musles ili uweze kuburn more calories
View attachment 95728
View attachment 95729
PIA ZIKO KWA WALE WANAOFANYA WEIGHTLIFTING
Kama uko intrested ni pm
kizungu kinanipita chenga, nifafanulie kiswahili.
huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.
Sir, do you know the dangers of taking steroids?Do any one from were I can get bodybuilding steroids in Dar es salaam
Tena ni wizi juu ya wizi. USA niliziona ni dola 20 jamaa huku anauza dola 150 duh! Na watumiaji pimeni kwanza mioyo yenu kama mizima otherwise mtakuja kuzimika tu ghafla!huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.
unazo bado?huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.