Mvua ina tabia mbaya sana[emoji23] hiki kiwanja hua kinajaa watu wanafanya mazoezi.
Leo nawaona watu watatu tu.
Anyway mi leo nitafanya benchi kwa dumbbells.
Hizo ni kilo 30, gym yangu ni local sana ina dumbbells hizo na zile za siku ile so hizo hizo nitazifanyia flat, incline na slope bench press.
Reps 12 raundi 6.