Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute.Wakuu body la Civilian bus inazwa kwa bei 7million,ipo Temeke Dsm.Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280 kupata picha na other details.
Yeah card ipo.Una card yake
Aisee,nimejaribu kuattch picha bila mafanikio.Anahitaji naweza share kwa watsaap kupitia hiyo namba.Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute.