M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 157 Reaction score 127 May 28, 2024 #1 Wakuu body la Civilian bus inazwa kwa bei 7million,ipo Temeke Dsm.Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280 kupata picha na other details.
Wakuu body la Civilian bus inazwa kwa bei 7million,ipo Temeke Dsm.Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280 kupata picha na other details.
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 May 28, 2024 #2 Mbona halina madirisha sasa, halafu hiyo rangi ya blue imepigwa vibaya
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 May 28, 2024 #3 mwaps said: Wakuu body la Civilian bus inazwa kwa bei 7million,ipo Temeke Dsm.Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280 kupata picha na other details. Click to expand... Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute.
mwaps said: Wakuu body la Civilian bus inazwa kwa bei 7million,ipo Temeke Dsm.Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280 kupata picha na other details. Click to expand... Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 May 28, 2024 #4 Una card yake
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 157 Reaction score 127 May 28, 2024 Thread starter #5 Joselela said: Una card yake Click to expand... Yeah card ipo.
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 157 Reaction score 127 May 28, 2024 Thread starter #6 Kanali_ said: Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute. Click to expand... Aisee,nimejaribu kuattch picha bila mafanikio.Anahitaji naweza share kwa watsaap kupitia hiyo namba.
Kanali_ said: Kuwa serious Boss, biashara unayofanya ni kubwa haiwezi kufanyika gizani. Weka hapa picha ya bidhaa then atayehitaji taarifa zaidi akutafute. Click to expand... Aisee,nimejaribu kuattch picha bila mafanikio.Anahitaji naweza share kwa watsaap kupitia hiyo namba.