....any way for my prspective kulala na jinsi is not body language, when talk abt body language unamaanisha kama kukonyeza, kubinua midomo,kugeuza geuza macho,kutikisa bega.....etc nadhani hapo utaunganisha na vingine ving.
Back to ze point ladies tunatumia sana hizo body language kama unakuwa umempenda mtu na its hard for you to tell straight foward sometime unamuangalia kwa macho ya kurembue(ingawa kuna wengine ni macho yao tu)but tunaweza sana tumia viungo vyetu kuwakilisha ujumbe mahususi.
Wana JF goodmoring:yield:
karibu tena mama bila wewe jamvi halianuliwi mpaka ufike, nimependa uchambuzi wako, nitumie hicho kiiatbu tafadhali maana hili nalo linanisumbua, nilitoswa na mtu coz ckusoma alama za mwili wake mi nikajua anaumwa, I was about 19 at that time hadi sasa akiniona analizungumzia hilo halafu ananicheka na kunidharau, 2kikutana ananiuliza umekua au bado cku ukikua utaniambia? sasa swali hili nalo ni part ya hii body language
Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!
1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!
Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!
Nawasilisha!

Rose hujambo wewe
ngoja nkachek author n majina ya vitabu ntakwambia
....kijibrash kidoooooooooooooogo cha saikoloj KNASAIDIDA SANA ...mtu akisimama pale unajua kabsa uyu ni wa class gani ....mamaliaa au reptilia...ni somo zur sana yan ata km mtu akija tu mbele yako na kuanza kukutukana bla sababu ya msing bas unaweza tu ukamwambia asante na pole ndgu....yaan vnakupa na busara kdg hautaweza tena kugombana na watu cz utajua kwa nini anaakt ivi...na nini kimesababisha awe ivo...ATA KM UMESOMA INGINIARING KUJISOMEA MASOMO YA SOSHOLOJ HASA SAIKOLOJ NI NZUR ZAID ITAKUSAIDIA ATA UISH VYEMA NA MKEO/MUMEO MKOROF.
Hapo kwenye red mamii utaumia, kuna watu wanajua kucheza na body language kinyama!!ndo maana kuna watu wanaitwa "players" hawa watu wanachezaga na body language tu kuwadanganya wasichana.....na tatizo la wasichana tayari wanakuwa na tafsiri zao kuhusu body language kumbe hawajui kuna wanaume wameiba vitabu vyao vya body language code!!Muulize Kimey atakuambia....
Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!
1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!
Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!
Nawasilisha!
Mie ni mwanasayansi ya jamii kama wewe ila fioeld tofauti, hebu nijibu basi nilichokuuliza kuhusu hayo yaliyonicuta naomba adivaisi, hiyo uliyotoa ni kanseling'i
Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!
1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!
Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!
Nawasilisha!
ahh pole sana ..naomba ujue kwamba kuna ANT VIRUS YA ANT VIRUS..
---ACTING ZNAJULIKANA WEWE ..WEWE unalia na yule analia wa kulia kweli anajulikana mwongo anajulikana...
uyu kashikwa na bunduki na ana damu kwenye shat na uyu yupo ndan amelala shat lake jeupeeeeeeee ....stil wa ndani ndo muuaji na uyo mwenye damu +bunduki mkonon si muuaji...issue ni pana more than u thk..
--jishughulishe upate elimu ya utambuz japo abcd.. itasaidia...
magumash ni rahisi sana kujulikana labda km wewe pia ulikuwa unampenda uyo player ndo utasema poaaaaaaaaaaa au labda pia hauji kumsoma mtu apo sawa..
hahahahaa hommie umenikumbusha mbaali.........Ila Rose kasema ye mtaalamu wa kugundua body language feki....Hapo kwenye red mamii utaumia, kuna watu wanajua kucheza na body language kinyama!!ndo maana kuna watu wanaitwa "players" hawa watu wanachezaga na body language tu kuwadanganya wasichana.....na tatizo la wasichana tayari wanakuwa na tafsiri zao kuhusu body language kumbe hawajui kuna wanaume wameiba vitabu vyao vya body language code!!Muulize Kimey atakuambia....
Sasa GFM..........una mpango wa kunifanya niongeze lenz ya miwani yangu eh? Font gani hii ya kuniwekea mtoto wa mwanaume mwenzio??Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na maana yake tafadhali, ni ktk kudumisha mahusiano.
Kwa mfano sikumoja ….siju Preta kaamua kulala na Jens ……… sasa hapa sijui tafrisi
yake ilikuwa nini mie nkadhani tu mwenzangu kachoka na kazi za machana ………..
kumbe naambiwa maana yake ni kwamba …….. Don't me tonite ..... Je hii nikweli :thinking:
Galz will alwayz be galz.....
hahahahaa hommie umenikumbusha mbaali.........Ila Rose kasema ye mtaalamu wa kugundua body language feki....
advaic eennh????
mwambie nw days m nt like da way i was b4....try me n u wl c t
au km vip nipotezee stak uchokoz wa aina hii
..isuue yenyewe mbona ni historia jaman?miaka 19 inakuumiza leo?
mweke sawa ajue ur new nwdays....teh teh tehhhhhh!!!!!
hahahaha leo utakua umejiandaa bana....hii haitaki maandalizi!!prove t
leo ukija panapo makutano bas naomba unichachatue kdg il tutambue pamoja.......
Basi mama maana na wewe huchelewi kulipuka kama mafuta nimekuelewa nitafanyia kazi