Body Massage

Body Massage

Kifuniko

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
97
Reaction score
18
Anahitajika dada mwenye utaalamu wa kufanya full body massage, nitakua maeneo ya DSM for next few weeks na nitahitaji hii huduma privately. Maombi yanakaribishwa ikiwemo bei iwe kwa dollar au TSH
 
Mhhhh! Haya banaaa kila la heri usisahau kufumba macho usione vile vitu unavyoviogopa 🙂🙂🙂

hahahahahaha! Nitavaa miwani ya mbao. Mikono tu ndio inahusu hapo.
 
hahahahahaha! Nitavaa miwani ya mbao. Mikono tu ndio inahusu hapo.

Mikono inaweza kugusa mavitus 🙂...basi ukatamani uondoe miwani yako ya mbao 🙂 ili uangalie umegusa kitu gani tena lol! na hapo ndiyo utaona vitu vya kutisha hahahahah lol!
 
Mikono inaweza kugusa mavitus 🙂...basi ukatamani uondoe miwani yako ya mbao 🙂 ili uangalie umegusa kitu gani tena lol! na hapo ndiyo utaona vitu vya kutisha hahahahah lol!
aiseee, nahisi nitakimbia vifaa vyangu vya kazi niviache hapo. Lol.
 
Husninyo unamkumbuka Mysteryman? Naona jamaa anafuata nyayo.Mambo ya Nyarugusu haya midola inawasha mifuko!

heeee! Mbona kama unataka kuniharibia dili chalii. Acha nile kichwa kwanza.
 
Back
Top Bottom