Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Nimeziangalia filamu hizi mbili na kuzilinganisha na nimefurahishwa zaidi ya Body of Lies kuliko Quantum of Solace.
Kilichonivutia ni kuona kuwa matukio ya kwenye Body of Lies yanaendana zaidi ya mtiririko wa hadithi kuliko ilivyo katika Quantum of Solace
Huo ni ukwei usiofichika, lakini nilishangaa haikufanya vizuri kwenye box office kama nilivyotegemea. Kuna uwezekano labda DVD zake zitakapotoka itafanya vizuri sana.