Body structures! Kuna ulazima wa kuendana maumbo ya mwili ili kufaidi sex?

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
278
Kama ilivyo kawaida ya jamvi, penye wengi pana mengi na hakika haliharibiki neno.

Hapa nina swali moja, hivi kuna ulazima wa maumbo ya mawili kati ya wapenzi/wanandoa kuendana ili kufaidi tendo la ndoa? Mfano mtu mnene awe n

a mnene mwenzie au mwembamba awe na mwembamba au mnene kwa mwembamba, please hebu tushauriane hapa!

Na je mwanaume mwembaba kufanya sana tendo la ndoa na mwanamke mnene/shangingi kunaweza kumpelekea mwanaume huyo kukonda zaidi?

Maana hapa nilipohamia kuna mwanafunzi mwanachuo mwaka wa kwanza(mvulana) ni mwembamba na may be tuseme ameolewa na jimama maana
anaishi nae as if they are married. Sasa kijana wa watu namwona anadhoofika sijajua amezidiwa na shughuli au ndo matokeo ya mzigo?
 
mkuu hapo ni mautundu tu ndio yanatakiwa, halafu na jinsi unavyoweza kulitumia umbo la mwenzio

dah sasa hayo mautundu ndo muhimu kumegeana, maana kama mimi mwembambaa afu jimama ndo nenee paja nasogeza kwa mikono miwili, unafanyaje hapo. . . . hauoni kuna umuhimukuendana kwa maumbo?
 
vyovyote vile sawa...moyo ukishaamua ndo hivyo...

Moyo unaamua, sawa. lakini satisfaction si muhimu? sasa katika swala zima la kurishishana na kufikishana, body size hazina mchango?
 
watu ukishaona wako pamoja ujue wameridhika.....
 
Kwa nini umeconnect unene na ushangingi??????? Wewe naona unaleta uchokozi. Ila kutokana na kusoma sana mitandao nasikia wanawake wale wanene sana inabidi mwanume uwe rijali kweli kweli or else!
 
Kama ilivyo kawaida ya jamvi, penye wengi pana mengi na hakika haliharibiki neno.

Hapa nina swali moja, hivi kuna ulazima wa maumbo ya mawili kati ya wapenzi/wanandoa kuendana ili kufaidi tendo la ndoa? Mfano mtu mnene awe n

a mnene mwenzie au mwembamba awe na mwembamba au mnene kwa mwembamba, please hebu tushauriane hapa!

Na je mwanaume mwembaba kufanya sana tendo la ndoa na mwanamke mnene/shangingi kunaweza kumpelekea mwanaume huyo kukonda zaidi?

Maana hapa nilipohamia kuna mwanafunzi mwanachuo mwaka wa kwanza(mvulana) ni mwembamba na may be tuseme ameolewa na jimama maana
anaishi nae as if they are married. Sasa kijana wa watu namwona anadhoofika sijajua amezidiwa na shughuli au ndo matokeo ya mzigo?

...Anahitaji ushauri nasaha, huo kama sio utapiamlo, huenda anapungukiwa na kinga za mwili.
 
dah sasa hayo mautundu ndo muhimu kumegeana, maana kama mimi mwembambaa afu jimama ndo nenee paja nasogeza kwa mikono miwili, unafanyaje hapo. . . . hauoni kuna umuhimukuendana kwa maumbo?

Ha ha haaaa! hiyo kulisogeza paja moja kwa mikono miwili unaweza lifanya kiromantic zaidi ikawa mautundu! ooooohooo!
 
Hivi kuna mtu mwembamba duniani?? Ukioa mnene ukaona kama anakuzidi nguvu piga misosi uone kama na wewe hujanenepa.
 
Naomba nikujibu kulingana na swali lako,
Hakuna ulazima wa kuendana maumbo ya mwili ktk sex.
 
Duh napita tu. Usingizi kibao. Swaumu kali.
 
Dah,nachojua mimi ni kuwa haijalishi una unene au wembamba gani ila kadri unavyoshughulika ndio unavyozidi kuwa na nguvu,nasema haya kwa kuwa asilimia 80 ya waliopita walikuwa na zaidi ya kilo 90.
 
Ha ha haaaa! hiyo kulisogeza paja moja kwa mikono miwili unaweza lifanya kiromantic zaidi ikawa mautundu! ooooohooo!

I like this. . . .
 
Back
Top Bottom