Body structures! Kuna ulazima wa kuendana maumbo ya mwili ili kufaidi sex?

kumbe mwanamke mnene ndo shangingi? mimi shangingi kumbe dah naamia gym
 

hapo kwenye RED uamaanisha wanawake wanene ndio mashangingi? Au labda sijakuelewa.

Hapo kwenye blue, sidhani kama maisha ya huyo jirani yako ni ya muhimu kuyaongelea hapa, au unatamani anavyokula?
 
hapo kwenye RED uamaanisha wanawake wanene ndio mashangingi? Au labda sijakuelewa.

Hapo kwenye blue, sidhani kama maisha ya huyo jirani yako ni ya muhimu kuyaongelea hapa, au unatamani anavyokula?

Hapo kwenye redi kunamaanisha mambo mawili. (a) kufanya tendo hilo na mwanamke mnene or alternatively shangingi. (b) wanawake mashangingi

kama sio wote basi wengi wao ni wanene!

Maisha ya huyu jirani yangi nakubaliana nae kuwa si muhimu kuyaongelea. Its a supporting evidence to my thread. Sikumtaja jina wala sehemu anap

okaa coz he is not a subject matter! We are not concentrating on him but on the life stlye/mode of life.
 
fikiria kuhusu mwanaume mnene kweli na mwanamke mnene kabisa. What will be the result?

Kumbuka pia kuwa ili umrithishe mwanamke mnene mwanaume unatakiwa uwe unaeleweka, sasa huyo minyama atausukuma huo mzigo!
 
Body size haijalishi sana muhimu ni kuridhishana.
 
Kula kitu roho inapenda, kila mtu anachaguo lake hivyo anajua sababu inayomfanya ampende mtu wake.
 
Hilo wala halipo,ni swala la nyie kupendana tu.
 
Hilo wala halipo,ni swala la nyie kupendana tu.

Nakubaliana nanyi wote kuwa muhimu ni kupendana. Ila nadhani kupendana ni swala moja na kuridhishana ni swala jingine. Watu wanapendana wanaa

mua kufunga ndoa kwa sababu hiyo. Wanakuwa na over expectation juu ya maisha yao ya ndoa/sexual life. However wakiwa ndani wanagundua ili u

upendo uendelee kuwepo, kuridhishana ni muhimu. In that circumstances kama inakuwa ngumu hapo ndo tunaona watu wanaanza toka nje ya ndo

a. Sikwamba hawapendani, lakini walichokitegemea hawakioni ( but this should not be treated as the sole and genuine reason for infidelity) Maana una

kuta mijianaume mingine tumbo kuleeeeeeeee mpaka mashine yenyewe imefunikwa (sorry kwa wahusika) sasa hapo kuridhishana inakuwaje?
 
munene na munene!!! its just a song...in real life KIPENDA ROHO... huyo mwenye afya hafifu labda ndo alivyo
 
Kwa nini umeconnect unene na ushangingi??????? Wewe naona unaleta uchokozi. Ila kutokana na kusoma sana mitandao nasikia wanawake wale wanene sana inabidi mwanume uwe rijali kweli kweli or else!
Neno shangingi asili yake ni gari aina ya shangingi ambayo ni maarufu sana kwa kuwabeba watu wa mjengoni. hivyo na mwna mke yeyote ambaye body shape yake inakuwa namna fulani hitwa shangingi na sio neno baya sana kama linavyo sikika.
 
Hapa naomba tu kuuliza wakuu ni nani aliyewahi kumuona dereva wa fiat mnene?
 
chukua picha, mnene mrefu ameolewa na mwembamba mfupiiiii....kichekesho ehee.
 
Mnene kwa mwembamba.
Mrefu kwa mfupi.
Mweupe kwa mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…