vitangaye
Member
- Jul 28, 2015
- 45
- 26
Operation ya kwanza kwenye mwili wa binadamu ilifanywa na mungu mwenyewe.Kwa kutumia nadharia ya kidini ( devine theory). Ukisoma maandiko matakatifu (bible) Genesis 2:21."Bwana mungu akamletea Adamu usingizi mzito ,naye akalala ,kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake" .
Ukirelate na elimu ya kidaktari ya sasa tunaweza sema kuwa adamu alipigwa nusu kaputi moja akalala usingizi mzito.Ndipo mungu akaendelea na shughuli yake.Akaondoa nyama ubavu wa kushoto wa Adamu. Alipo toa ndio aliyoitumia kumfanya mwanamke (bado Adamu akiwa amelala). Adamu alipo amka akashangaa kuna mwanamke" yeye ndiye aliyesema ataitwa mwanamke.Lazima kuna ukweli juu ya hili ndio maana ubavu wa wa mwanadamu hauna nyama ya Ya kutosha kama ilivyo sehemu nyingine za mwili.
Hapo ndipo ninajifunza kuwa God is a source of all knowledge. Nothing is being discovered. Every thing is copy and pesting from the works of God.
Note: Hii ni nadharia .Hakuna sehemu kwenye biblia ilipoandika usingizi aliopewa Adam na mungu ulisababishwa na kitu chochote.Please challenge me and not to insult.