Boeing 787-8 Dreamliner vs MC-21 ya Urusi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
TOFAUTI YA GHARAMA HIZI ZA NDEGE NAJIULIZA HUWA TUNAFANYA PRICE RESEARCH KWELI ??????????😱😱😱

National origin Russia

Unit cost MC-21-200: US$ 72 million---With a capacity of 132–163 passengers
MC-21-300: US$ 91 million--With a capacity of 165–211 passengers

$224.6 milioni (Sh512 bilioni za Tanzania)
 
Nyie watu huu upinzani unawatoa akili. Ngoja nibaki kwenye kuuza mkaa hizi ndege niwaachieni wataalam.
 
how to minimize cost
you are looking at only cost. A fair analysis would include more variables. Kucompare cost ni sawa na ku compare ndizi na machungwa kwa kigezo kwamba yote ni matunda. Expand your analysis to include more variables halafu ndo useme kwamba decision ya ku buy Boeing ilikuwa si sahihi au ni sahihi. Umenisoma?
 
Sijaelewa hasa unalinganisha nini vs nini? Ungeeleza kwanza specification zake na mambo kama hayo kabla hujakimbilia kulinganisha bei...
 
balance ingetosha VIWANDA
 
Unajua unapochagua ndege, usiangalie tu gharama.. ipi ni bei rahisi.
Kwa kudumu,na usafiri wa uhakika 787 iko vizuri .
Hii ndege kaa uwezo wake ilikuwa designed to compete with chinese COMAC C919 (no F.A.A certificate yet) na Boeing 737 next gen( hapa naongelea from 737-500 to 737 Max) , Airbus 320 oneo.
 
Man uko sawa kabisa. There is more than cost. Kuna vitu vingi vya ku consider kabla ya kununua ndege
 
Tushazoea kulalamika,utadhani sisi ndio wa kwanza kumiliki dreamliner,majirani zetu kenya wanazo 8,sie hii 1 tu kila siku kuianziashia thread hasi!
 
Acha kufananisha boing na vitu vya kijinga, linganisha hiyo ya Russia na Boing kwenye run cost
 
This is too deep for him.
 
Naona hata hujaelewa chochote nilichoandikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wewe ndio hujanielewa mimi ni mdau namba 1 wa Presidaa wetu
ningemshauri MC-21, balance tungejenga viwanda kuliko kudampo mahela yetu hatujui yanarudi lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…