Boeing 787-8 Dreamliner vs MC-21 ya Urusi



who are you then in this country, unatuletea upuuzi huu!
 
Boeing 787-8 inabeba abiria 262
Mc-21-200 inabeba abiria 165-211

Una akili sawasawa? Jifunzeni kuwaza mema siyo maovu pekee.
 
Tushazoea kulalamika,utadhani sisi ndio wa kwanza kumiliki dreamliner,majirani zetu kenya wanazo 8,sie hii 1 tu kila siku kuianziashia thread hasi!
Rais alisema, waliochukizwa na ujio wa 787 watapata tabu sana. Hajakosea, mana wako bize kutafuta nini wapost ili 787 ionekane chaka....
 
wewe ndio hujanielewa mimi ni mdau namba 1 wa Presidaa wetu
ningemshauri MC-21, balance tungejenga viwanda kuliko kudampo mahela yetu hatujui yanarudi lini
Mwee haya. Hivi shule bado hamjafungua?πŸ˜€πŸ˜€
 
Tushapigwa pigo pigo..
Tumenuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…