Boeing imetenga Dola milioni mia moja kwa familia 346 za watu waliofariki katika ajali za ndege za 737 Max

Boeing imetenga Dola milioni mia moja kwa familia 346 za watu waliofariki katika ajali za ndege za 737 Max

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Inakisiwa Kila familia itapata takriban Dola laki tano (50 million ksh). Japo ajali ni jambo gumu sana kwa familia za wafu na pia pesa sio ya maana kushinda maisha ya binadamu lakini hio pesa natumai itawafuta machozi. Ikumbukwe zaidi ya wakenya thelathini walipoteza maisha yao katika ajali ya ndege ya Ethiopian. Mungu alaze roho zao mahali pema peponi.


=====

Boeing on Wednesday said it would give $100 million US to organizations to help families affected by the deadly crashes of the company's 737 MAX planes in Indonesia and Ethiopia.

The multi-year payout is independent of lawsuits filed by families of the 346 people killed in the two crashes, in October 2018 and March this year, a Boeing spokesperson said.

Boeing also said it will match any employee donations through December.

The funds will support education, hardship and living expenses for affected families, community programs, and economic development in impacted communities, Boeing said in a statement. The U.S. plane manufacturer said it will partner with local governments and non-profit organizations "to address these needs."

"The families and loved ones of those on board have our deepest sympathies, and we hope this initial outreach can help bring them comfort," said Boeing chief executive Dennis Muilenburg.

This March, a Boeing 737 Max 8 plane crashed in Ethiopia, killing all 157 people on board. 18 of them were Canadian, and several more were permanent residents. Now, six families from Canada who lost relatives are suing Boeing for alleged negligence in the Ethiopia Airlines crash. The CBC’s Susan Ormiston spoke to three of them, and brings us their reflections and lingering questions about what happened.

Dozens of lawsuits have been filed against Boeing by families of Lion Air and Ethiopian Airlines crash victims. The company is in settlement talks over the Lion Air litigation and has separately offered to negotiate with families of Ethiopian Airlines victims as well, though some families have said they are not ready to settle.

Wednesday's cash pledge comes as Boeing faces probes by global regulators and U.S. lawmakers over the development of the 737 Max
 
Umenikumbusha story ya Mme alie nusurika kwenye ajari ya moto ofisini kwao.kampuni ikaamua kutoa milioni 10 kW kila wafiwa wa ajar ile.mke akamaindi Mme wake kwa nn alitoka badala ya kubaki afe wangevuta mpunga
 
Ufipa watalalamika kwann hakuna mbongo aliyekuwepo humo kwenye ndege
 
Wenzetu wanajali sana

Kila familia iliyofiwa na mtu mmoja itapata Kshs. Millioni thethasini na moja(Kshs. 31,000,000/00 na kama ni wawili 61 million Kenyan shs(average = wastani)!
 
New York, kampuni ya Boeing italipa dola milioni 100 kusaidia kuunga mkono familia na jamii za watu waliofariki katika ajali mbili za 737 Max mwaka jana.

Kampuni hiyo imesema kuwa pesa hizo zitapewa kwa NGO na makundi ya jamii ambayo yatasambaza fedha hizo kwa jamaa za watu 346 waliokufa katika ajali hizo. Fedha hizo zitatumika kusaidia elimu, ikiwa ni pamoja na mafunzo ya chuo au gharama nyingine za shule kwa watoto waathirika, na "shida au gharama za maisha kwa familia zilizoathirika," Boeing (BA) ilisema.

Hata hivyo Habari hizo hazikukubaliwa vizuri na jamaa za waathirika ambao wameishtaki kampuni hiyo, kwa mujibu wa wakili Bob Clifford, ambaye anawakilisha familia kadhaa zilizoathirika na ajali ya Machi 2019 ya Boeing 737 Max nchini Ethiopia.

"Aina hii ya ofa mapema katika mchakato wa madai sio kitu cha kawaida" Clifford alisema katika taarifa ya barua pepe. Kwa sababu bado kuna mengi ya kujifunza kuhusu kile kilichotokea, pia inaonekana kuwa haikubaliki, na aliongeza kuwa familia hazipendekezi fedha zaidi kuliko kupata mabaki ya wapendw wao kutoka kwenye eneo la ajali.

Zaidi soma hapa https://amp-cnn-com.cdn.ampproject....eing-100-million-compensation-fund/index.html
 
Million 100 ni chache sana ..kama bei ya max moja
 
Pesa ndogo sana laiti ingelikuwa wamarekani ungesikia eti watawalipa familie zao million 88dolla
 
Ufipa watalalamika kwann hakuna mbongo aliyekuwepo humo kwenye ndege
Nimesikia alikuwemo baba yako kwahiyo ikifika siku ya kutolewa hizo hela mtapewa taarifa ili mpate matumizi ya baadae.
 
Yale yale ya MaCCM kuingiza siasa kwa kila taarifa, mnakosea sana kwa kweli, mlijue hilo.
Kila siku tunatukanwa na ufipa kuwa tuige kila kitu kutoka kwenu sasa nawasiwasi na hili tutatukanwa



Pia nyinyi wakenya ni wanafiki ajali ilipotokea mlilitutukana humu kuwa kwenye list ya waliokufa hakukua na mtanzania ... mkadai eti sisi ni masikini huwa hatusafiri sana kama nchi zingine


Kenya na wadogo zenu wa ufipa muwe na kumbukumbu tafadhali
 
Back
Top Bottom