Bofya hapa>Tusaidieni jaman tuliopata div.4 point 32 {2013}kuhusu vyuo

huna hata hazi kua humu jf nenda kalime

Sidhani kama ni sahihi sana kwa jibu uliloliweka hapa, ujue haya majibu sisi wote wenye watoto na ndugu tunafuatilia na kwa namna fulani tunapata msaada wa kipi cha kufanya. Kulima sio tatizo, tatizo ni wewe unayefikiri kulima ni tatizo. Wakulima ndio nguzo ya taifa hili. Usidhani wewe unayekaa Dar na kulazimika kuamka saa 11 asubuhi kuwahi daladala na kutumia masaa mengi kurudi nyumbani na kupata mshahara wa laki 5 ndio mtu wa maana zaidi ya mkulima. Hayo ni mawazo magando. kama una msaada unatoa, Usiwe na mentallity ya ku crash every thing as if jamii forum ndio inataka hivo. You are wrong, take it or leave it. Unahitaji kusaidiwa kuwa productive badala ya kuwa critique for nothing. leta majibu tukujue na tukutafute.
 
nenda internetcafe yoyote download fom za mafunzo ya ualim mana zpo tyar na dedline ya ku2ma maombi n mwsho wa mwez wa 5,,ol the bst hop ur willn 2 study!!dönt gv up evrythn z pocble
 
Nashukuru kwa wote mlio nipa mwanga nawaombea kwa MUNGU mbarikiwe katika maisha yenu.Kwa wale mlio kuja kukosoa yawenzenu acheni hizo...
 
Duh haya madaraja ya Mulugo mbona msala. Utapata chuo dogo japokuwa hujasema wewe unapenda nini!
 
mpini umekuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…