Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni nani katika wizara ya elimu?Matokeo yamekua mabaya,yamezunguzwa mengi,toa maoni yako kama mdau tuweze kuwasaidia wanafunzi na Tulikomboe Taifa,maoni yote yatapelekwa Wizarani kuboresha.
Matokeo yamekua mabaya,yamezunguzwa mengi,toa maoni yako kama mdau tuweze kuwasaidia wanafunzi na Tulikomboe Taifa,maoni yote yatapelekwa Wizarani kuboresha.
Kwakweli ni mjadala mpana.Matokeo yamekua mabaya,yamezunguzwa mengi,toa maoni yako kama mdau tuweze kuwasaidia wanafunzi na Tulikomboe Taifa,maoni yote yatapelekwa Wizarani kuboresha.
Hivi nani hajui kuwa:- posho za walimu na mshahara mzuri
1. watafundisha vizuri?
2. wanaodai hakuna maabara, hao hao lab teachers watabuni njia mbadala na watoto watapenda sayansi?
3. walimu waliokimbia ualimu wale wazuri watarejea ufungufu utapungua
4. huko vijijini wanasiasa wanakodai walimu hawataki watataka mshahara ukiwa bora
5. wanafunzi watabaki na walimu muda mrefu badala ya watoto kukaa na walimu muda mfupi na baadae wanaingia kwenye vishawishi na makundi na matendo mabaya
6. Heshima ya ualimu itaimarika na watafanyakazi yao inayowahusu badala ya kuwa wajasiriamali mtaani
Nwashangaa wanaodai elimu katelekezwa wakati wakigoma mnajifanya kulaani, watanzania ni mafirauni sana, mandumilakuwili, wanasura mbili moja mbele nyingine nyuma...madaktari hivyo siipendi nchi hii kwa umbumbumbu wetu, ukitetea serikali unajua unawapa kichwa?
Matokeo yamekua
mabaya,yamezunguzwa mengi,toa maoni yako kama mdau tuweze kuwasaidia
wanafunzi na Tulikomboe Taifa,maoni yote yatapelekwa Wizarani
kuboresha.
6. in addition, mafunzo ya waalimu yatolewe kukidhi mahitaji ya utoaji wa elimu yaani mtaala7. wanafunzi wapewe mafunzo kwa vitendo kama ilivyo ktk shule binafsi, vyuo vya kilimo na ufundi8. kabla ya mitihani wanafunzi waandaliwe kitaaluma na kisaikolojia kukabili mitihani ipasavyo9. somo la kiingereza lipewe kipaumbele ktk mafunzo kama njia ya mawasiliano ya kukabili matakwa ya kitaaluma10. mtindo wa kuwaingiza kwa mkururowatoto wenye alama chini ya 50 kama ilivyokuwa hapo zamani11. watoto wawe subjected to IQ Test ili kupata wale wanaostahili kukabili masomo ya secondary, watakaofeli wapewe mafunzo ya ujasiriamali kwani watakaoishia dar. vii wao sio wa kwanza kwani waliopo wanaendesha maisha vizuri kuliko maprofesa12. uwekwe mkazo wa kusimamia taaluma toka dar. la i-vii then form i-form ivKwanza 1. Waziri aondoke (kwasababu ameshindwa kusimamia misingi imara ya kielimu, ilikukuza na kuimarisha Kiwango cha elimu Tanzania)2. Waziri mkuu, ajirekebishe na arekebishe maamuzi yake ya kuwadharau waalimu pindi wanapo kuwa na shida, Kwani anajua matatizo yao na hataki kuyashughulikia. kwa kumsaidia tu! a) Mshahara mdogo b) Mazingira mabovu ya kuishi c) Mazingira mabovu ya kufundishia d) Madeni sugu yasiyo lipwa e) Kuta sikilizwa pia3. Wazazi pia wajaribu kubadilisha Design za maisha (kwani watoto wa siku hizi wamekuwa free sana, kufanya mambo ya kijinga tofauti na watoto wa kipindi cha nyuma)4. Badilisha mitaala na Kurekebisha Baraza La mitihani5. Kuboresha fursa za kujifunza kwa vitendo, Debates, Essays, na Mitihani ya kujishindanisha na kujiandaa pia!natoa hoja