Bofya hapa uboreshe Elimu Tanzania

Sina Tume,na tume zimezoeleka,Uazani matatizo yote hadi tume
 
kila kanda kuwe na mtihani wake inakuwaje mtoto wa kilimanjaro anafundishwa mining na kilimanjaro
hakuna mgodi hata mmoja, shule za mjini zinafundisha agriculture huku hazina mashamba eti wanatoa
mfano kwa kutumia mchicha, t0a National
examinion weka school resurts tu. shule zifundishe kutokana na rasilimali zinazopatikana sio kukalilisha
watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…