Bofya hapa

MR. KIDNEY

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Jamani ndugu zangu nimefika mwisho sasa kama kuna anayejua wapi huwa wanatoa udhamini wa masomo naomba anisaidie. Mimi ni mwanachuo wa chuo cha waganga.
 
Jamani ndugu zangu nimefika mwisho sasa kama kuna anayejua wapi huwa wanatoa udhamini wa masomo naomba anisaidie. Mimi ni mwanachuo wa chuo cha waganga.

acha uhuni wewe chuo cha waganga ndio kipi sasa...unataka msaada alafu unaleta utani...embu nyoosha maelezo acha ufafa
 
hicho chuo mhadhiri atakuwa yule dr. Mapaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…