Boka: Ni hadithi za kusadikika, nyoka mkubwa anayepatikana milima ya Uruguru

bileduke

Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
27
Reaction score
1
Habari za jiona wana jf leo na muda na siku ka.a ya leo napenda kuwasilisha haya.

Katika milima ya urugulu inayopatikana katika mkoa ww morogoro kuna hadith zipo miaka na miaka kuwa katika milima hiyo kuna nyoka mku wa sana na sio mmoja anayejulikana kww jina la boka.

Kwa watu wanaokaa maeneo hayo mfano kabira la waruguru wanalifaham hilo.Nyoka huyo huwa na maisha ya kuhama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine na katika safari zake inasadikika anatoka milimani na kuelekea baharini kupitia katika maporomoko ya maji na vijito vidogovido.

Kipindi cha masika au mvua kubwa ndio mida anaotumia kwa kipind cha miaka kumi ndipo hayo yanatokea,katika maeneo hayi karibu na vijiji jirani kuna matokeo ya watoto kuumwa kipind tuu nyoka huyu anapofanya safar zake.

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…