Pohjois Haaga
Member
- Jun 29, 2015
- 47
- 16
Viongozi, hivyo tuliwa sikia kituo cha mabasi yaendayo Kaskazini ya nchi yetu hususani mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na nchi jirani ya Kenya kitahamia eneo la Boko Basi Haya. Mradi huu umeishia wapi..? Au ndio ilikuwa kuchanganyikiwa kwa serikali yetu...?