Boko Haram ni nini?

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
155
Reaction score
387
Boko Haram ni kundi la Waislam wenyeitikadi kali kaskazini mwa Nigeria lina mwelekeo wa kijihadi na kutumia mbinu za ugaidi. Kutoka Nigeria wameingia pia katika nchi jirani za Chadi, Niger na Kameruni Kaskazini.

Jina "Boko Haram" linatokana nalugha yaKihausa likimaanisha "vitabu ni haramu" yaani "elimu ya magharibii ni haramu audhambi".

Historia
Boko Haram ilianzishwa nYusuf Mohamed mwaka 2002 na inalenga kuanzisha dola la Kiislamu katika nchi Nigeria ambaShari ni sheria ya pekee.

Tangu mwaka2010 kundi hilo linatumijina rasmii la ‏جماعة أهل السنة للدعوة والجهاد‎, jamāʿat ahl as-sunna li-d-daʿwa wa-l-ǧihād, yaani jumuiya ya watu waSunna kwa ajili ya uenezaji (wa Uislamu) na jihad".

Imekadiriwa ya kwamba mapigano yaliyoanzishwa na Boko Haram au kutekelezwa dhidi yake yamesababisha vifo vingi Rais wa Nigeria Jonathan Godluck alidai Mei 2014 kuwa kundi lilisababisha vifo vya watu 12,000 na wajeruhiwa kwa maisha 8,000.

Baada ya kushambulia shule, vituo vya polisi,makanisa naofisi za serikali kundi lilitoa tamko mwaka 2012 kuwa linawapa Wakristo wote nafasi ya siku 3 kuondoka kaskazini mwa Nigeria au watauawa. Tangu tangazo lilemashambulio yameongezeka. Hawashambulii Wakristo na mapolisi pekee lakini pia idadi kubwa ya Waislamu ambao ndio wakazi wengi kaskazini.

Mnamo Aprili 2014 kundi la Boko Haram likashambulia mji wa Chibok katika jimbo la Borno, likaweka moto na kuharibu nyumba 170 na kuingi shule yasekondari walipokamata wasichana zaidi ya 200, Tarehe 6 Mei 2014, wasichana wengine 8 walitekwa na watu wenye silaha wanaofikiriwa kuwa wa kundi hilohilo. Kiongozi wa Boko Haram, Shekau alitisha kuwauza mabinti kama watumwa.

Tarehe 12 Mei 2014 video ya Boko Haram ilidai kuwa mabinti wote waweongokea Uislamu na watashikwa hadi wafungwa wa Boko Haram waliomo mkononi mwa serikali watakapoachishwa na kuwekwa huru.
 
Haya makundi huwa nashindwa kuelewa kwa nini serikali zinayalea weeee, mpaka yanaota ndevu yanatunishiana misuli na serikali.

Sidhani kama boko haram ilianza ghafla tu na kufika ukubwa walionao leo.
 
Wajinga kama nyinyi ndio wazungu mtaji wao mnakuwa mawakala wao wa upotoshaji, kile ni kikundi cha kukusanya kodi ya mali wa wizi kwa kutumia mfumo wa ugaid sababu wanajua kuna watu watawachukia baadh ya watu na wao wanaendelea kuvuna
 
Wajinga kama nyinyi ndio wazungu mtaji wao mnakuwa mawakala wao wa upotoshaji, kile ni kikundi cha kukusanya kodi ya mali wa wizi kwa kutumia mfumo wa ugaid sababu wanajua kuna watu watawachukia baadh ya watu na wao wanaendelea kuvuna
Mmmmmhhhhh
 
Haya makundi huwa nashindwa kuelewa kwa nini serikali zinayalea weeee, mpaka yanaota ndevu yanatunishiana misuli na serikali.

Sidhani kama boko haram ilianza ghafla tu na kufika ukubwa walionao leo.
sponsors wapo ndio mana iran na marekani wanasaidia mataifa yaliyoathiriwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…