Poleni kwa usumbufu.
Zamani zileee, tulikuwa tukiruka kamba huku tukiimba wimbo flani hivi (BOLIBO-BOLIBO). Huo wimbo ni wa Kiingereza, ila namna tulivyokuwa tukiuimba......., mh! Nikiimba haueleweki.
Msaada jamani, kama kuna yeyote anaukumbuka na anaweza kuuimba kwa ufasaha anikumbushe. Nataka niwafundishe/niwaimbie wajukuu zangu.
Unaanza hivi:
Bolibo Bolibo,
Namba 28, I know...........sijui nini na nini na nini..............
Lizy.