Bolivian president on hunger strike for reforms

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...dah, hawa wanamapinduzi nao...

 
Guys are you serious? JK huyu huyu au mwingine ajaye? Thubutu yake !! Angekuwa serious RA saa hizi yuko nyuma ya bars. Anyway ndio hivyo tumeliwa mchana kweupe peeeee masikini tz huruma kwako.
 
Tatizo kubwa liko kwenye katiba na katiba ya Bolivia imebadilishwa na kutoa haki sawa kwa kila raia katika maeneo ya ardhi na rasilimali ambavyo vinamilikiwa na wachache na ndio wako katika hilo bunge la juu la "senate"

Hata Tanzania katiba ikibadilishwa na kumpa kila mtu haki anayostahili ya kufaidi keki ya taifa na kila raia akafaidi matunda ya dhahabu, gesi, mbuga za wanyama, na madini mengine mangi tu tutafika mbali.

Bado matunda ya hivi vitu hayaonekani!
 

View attachment 4340

Bolivian president wins reelection right via hunger strike

LA PAZ, April 14 (Xinhua) -- Bolivian President Evo Morales will be able to run for a second presidency in this year's presidential election as his five-day hunger strike finally forced lawmakers to approve an election law on Tuesday.

The law was approved by congress early Tuesday morning when the ruling party and opposition reached an agreement, under which seven seats will be reserved for the indigenous people in the 130-seat lower house of the congress and Bolivians living abroad are allowed to vote for the first time.

...funga imesaidia wajameni, kuna kitu twaweza jifunza hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…