TAFAKARI kwa makini ujumbe huu. Jua kwamba kila hatua unayopiga ukitembea zinakuelekeza kaburini. Si kwamba ukisimama safari hiyo nayo imesimama, hapana!
Jitahidi mno kuishi vizuri na watu. Kuwa mnyenyekevu, mpende kila mtu. Salimia watu, hurumia watu, waheshimu watu, tamani maisha baada ya uhai. Unayempuuza leo yeye kesho hatokupuuza ila utaumia kwa fedheha na aibu kabla hujafukiwa. Upendo ukutawale daina dawamu.
Nawatakia "derby" njema yenye "hatrick " ndani yake.
19/10/2024
Time: 14:12 pm
Idodomya!
Huyo ni Bollen Ngetti Facebooniwekee link ya account yake